9/16/2024

SIFA ZA MPIGA KURA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024

SHARE
SIFA ZA MPIGA KURA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024
SIFA ZA MPIGA KURA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024

Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 November 2024  hizi hapa ni Sifa za Mpiga Kura.
  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe na umri wa miaka 18 au zaidi.
  • Awe ni mkazi wa eneo la kitongoji.
  • Asiwe na ugonjwa wa akili uliothibitishwa na Daktari anayetambulika na Serikali au bodi ya utabibu.
  • Awe amejiandikisha kupiga Kura katika kitongoji husika na
  • Awe na akili timamu.
SHARE

Author: verified_user