9/16/2024

SIFA ZA MGOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024

SHARE
SIFA ZA MGOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024
SIFA ZA MGOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024

Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 November 2024  hizi hapa ni Sifa za Mgombea.
  • Awe raia wa Tanzania
  • Awe na umri wa miaka 21 au zaidi.
  • Awe na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza
  • Awe na shughuli halali ya kumwezesha kuishi
  • Awe mkazi wa eneo la kitongoji
  • Awe Mwanachama wa Chama Cha Siasa na amedhaminiwa na Chama.
  • Awe na akili timamu
SHARE

Author: verified_user