Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linapenda kuwajulisha watahiniwa wote wa kujitegemea kuwa Mtihani wa Kidato Cha Nne 2024 utafanyika Kuanzia tarehe 11 November hadi tarehe 29-2024.
Pia Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Kidato Cha Pili utafanyika Kuanzia tarehe 28 October hadi tarehe 7 November 2024.
Aidha watahiniwa wote wa kujitegemea waliosajiliwa kufanya Mtihani na Upimaji huo wanatakiwa kufika katika vituo vyao vya mitihani kwaajili ya kuchukua barua na kuhakiki taarifa zao.