9/17/2024

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI AJIRA ZA INEC IRAMBA DISTRICT COUNCIL

SHARE
MAJINA YA WALIOITWA KAZINI AJIRA ZA INEC IRAMBA DISTRICT COUNCIL
TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA.

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iramba Magharibi kwa Mamlaka aliyopewa na Kanuni 11(1) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura za mwaka 2024 amefanya uteuzi wa Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki katika ngazi ya Vituo kufatia usaili uliofanyika kuanzia tarehe 04-07/09/2024 katika Tarafa za Shelui, Ndago Kinampanda, na Kisiriri.

Kufuatia uteuzi huo, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki walioteuliwa wanataarifiwa kuwa Mafunzo kwaajili ya kuwajengea uwezo ili waweze kutimiza majukumu yao yatakayofanyika kwa siku mbili (2) mfululizo yaani tarehe 22 na 23/09/2024.

Muda wa kuanza mafunzo ni saa 2:00 Asubuhi katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Lulumba Kiomboi.

Orodha ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki pamoja na wale wa akiba imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
SHARE

Author: verified_user