Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais -Tamisemi itatoa mafunzo rasmi ya kuwajengea uwezo watoa huduma za Afya ngazi ya jamii 11,515 kuanzia Septemba 30, 2024 ili kufanikisha azma ya Mpango Jumuishi wa wahudumu hao na kuendeleza afua jumuishi za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii.
Orodha Kamili ya Majina 11,515 ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Walioitwa Kwenye Mafunzo Tafadhali Donwload PDF hapa chini;
ORODHA YA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII WALIOITWA KWENYE MAFUNZO DONWLOAD PDF