9/03/2024

Kuitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024-2025

SHARE

kuitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024-2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024 tafadhali Chagua Wilaya yako hapa chini;

SHARE

Author: verified_user