9/10/2024

50 SIMBA KUIFUATA AL AHLY TRIPOLI

SHARE
50 SIMBA KUIFUATA AL AHLY TRIPOLI

Kikosi cha Simba kinaondoka nchini Alfajiri ya Jumatano kuelekea nchini Libya tayari kwa mchezo wa Kwanza wa raundi ya Kwanza ya kombe la Shirikisho CAF Confederation Cup dhidi ya Al Ahly Tripoli

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Simba, msafara utajumuisha watu 50 ambao ni wachezaji, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi

Simba itakuwa na siku mbili za maandalizi huko Libya kabla ya siku ya mchezo ambao utapigwa Jumapili ya September 15-2024.

Katika hatua nyingine Kikosi hicho kimekamilisha maandalizi ya mwisho kabla ya safari hiyo ambao itaanza Alfajiri ya kesho Jumatano, Septemba 11-2024.










SHARE

Author: verified_user