Ili kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba kwa mwaka wa 2024, tafadhali kufuata hatua zilizoainishwa hapa chini:
Tembelea tovuti rasmi ya Necta ambayo ina jukumu la kufanya na kusimamia mitihani nchini Tanzania.
Ili kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba, unahitaji kutembelea tovuti yao rasmi ya NECTA.
Nenda kwenye sehemu ya Matokeo: Unapokuwa kwenye tovuti ya Necta, tafuta sehemu iliyoandikwa “Results” au “Matokeo” kwa Kiswahili then bofya juu yake ili kuendelea kuangalia Matokeo.
UNAWEZA TAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 PSLE KWA KUBOFYA HAPA
KUANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 KWA NJIA YA SMS FUATA MAELEKEZO HAPA CHINI;
- Piga *152*00#
- Chagua namba 8.ELIMU
- Chagua namba 2.NECTA
- Chagua aina ya huduma
- MATOKEO
- Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
- Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
- Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
- Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo
NECTA Matokeo Darasa la saba 2024 PSLE Results