9/18/2024

UPDATE APP YETU YA NIJUZE HABARI HAPA

SHARE
UPDATE APP YETU YA NIJUZE HABARI HAPA
Habari njema, baada ya kupata Changamoto kwenye App yetu ya Nijuze Habari Sasa tumefanikiwa kufanya Maboresho yaliyoifanya iwe katika mwonekano mwingine.

Pia kuanza kuingiza habari mpya.

Kuendelea kupata habari Kwa wakati tafadhali futa na Donwload upya Nijuze Habari App Kwa kubofya HAPA.

Kama wewe mgeni Donwload moja kwa moja HAPA, Kama wewe tayari unayo kwenye simu yako hakikisha umefuta uliyonayo na Kudownload upya.

SHARE

Author: verified_user