9/08/2024

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MFAMASIA NA AFISA MUUGUZI DARAJA LA II

SHARE

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MFAMASIA NA AFISA MUUGUZI DARAJA LA II

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II) NA AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) ULIOFANYIKA TAREHE 07/09/2024

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.

READ ALSO: TAAARIFA MPYA KWA WASAILIWA WA KADA ZA AFYA

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

SHARE

Author: verified_user